# Yahwe amesikia ombi langu la huruma ... Yahwe amekubali ombi langu Mistari hii miwili ina maana ya kufanana. # Yahwe amekubali ombi langu Kuwa tayari kufanya ambacho Daudi ameomba inazungumziwa kama kukubali ombi lake. "Yahwe atajibu ombi langu"