sw_tn/pro/15/03.md

17 lines
275 B
Markdown

# macho ya Yahwe yapo kila mahali
"Yahwe huona kila kitu"
# mema na maovu
"watu wema na watu waovu"
# ulimi uponyao ni mti wa uzima
" maneno ya upole ni kama mti ambao hutoa uzima"
# ulimi wenye kudanganya huvunja moyo
"kauli ya uongo husababisha mtu kuvunjika moyo"