forked from WA-Catalog/sw_tn
363 B
363 B
Taarifa kwa ujumla
Hii ni orodha ya ukoo wa Lawi. Musa aliwahesabu Walwi kwa namna tofauti na makabila mengine kwa sababu hawakupokea ardhi yeyote.
Zilizohesabiwa kwa kufuata ukoo
"ambao viongozi waliwahesabu kwa kufuata ukoo"
Gerishoni ... Kohathi ... Merari ... Amramu
Tazama 3:17
Alimzalia Amramu watoto wao
"Yeye na Amramu walikuwa na watoto"