sw_tn/num/23/19.md

9 lines
277 B
Markdown

# Je,alishawahi kuahidi kitu pasipo kukitekeleza? Je, alishawahi kusema kuwa atafanyakitu bila kufanya?
"Hajawahi kuahidi kitu pasipo kutimiza kile alichoahidi. Amekuwa akifanya kama alivyosema kuwa atafanya."
# Nimeamuriwa kubariki
"Mungu ameniamuru kuwabariki Waisraeli"