sw_tn/num/23/19.md

277 B

Je,alishawahi kuahidi kitu pasipo kukitekeleza? Je, alishawahi kusema kuwa atafanyakitu bila kufanya?

"Hajawahi kuahidi kitu pasipo kutimiza kile alichoahidi. Amekuwa akifanya kama alivyosema kuwa atafanya."

Nimeamuriwa kubariki

"Mungu ameniamuru kuwabariki Waisraeli"