forked from WA-Catalog/sw_tn
342 B
342 B
Sentensi unganishi
Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli.
zawadi zake nzuri
"mambo yote mema ndani yake" au "vitu vyote vyema tunaweza kupata kutoka kwake"
Mavuno mazuri kutoka nchi yetu huenda kwa wafalme
"Tunatoa kodi kwa wafalme kwa kufanya kazi nchi yetu"
Wanatawala.
Wafalme mtawala.