# Sentensi unganishi Katika aya hizi, Walawi wanaendelea kumsifu Bwana mbele ya watu wa Israeli. # zawadi zake nzuri "mambo yote mema ndani yake" au "vitu vyote vyema tunaweza kupata kutoka kwake" # Mavuno mazuri kutoka nchi yetu huenda kwa wafalme "Tunatoa kodi kwa wafalme kwa kufanya kazi nchi yetu" # Wanatawala. Wafalme mtawala.