Sentensi unganishi
Nehemia anaelezea idadi ya watu ambao walirudi kutoka uhamishoni. Watu walikusanywa na familia kulingana na jina la baba zao. Nambari inawakilisha idadi ya wanaume katika kila familia.
Paroshi...Shefatia... Ara
Haya ni majina ya wanaume.