kisaha akasema
Nehemiya anasema yale aliyoomba. AT "Ndipo nikamwambia Bwana"
wale wanaokupenda na kushika amri zake
Kwa kuwa Nehemia anazungumza na Yahweh, matamshi "yeye" na "yake" yanaweza kutafsiriwa kama "wewe" na 'yako." AT "ambaye anakupenda na kushika amri zako"