sw_tn/neh/01/04.md

9 lines
278 B
Markdown
Raw Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kisaha akasema
Nehemiya anasema yale aliyoomba. AT "Ndipo nikamwambia Bwana"
# wale wanaokupenda na kushika amri zake
Kwa kuwa Nehemia anazungumza na Yahweh, matamshi "yeye" na "yake" yanaweza kutafsiriwa kama "wewe" na 'yako." AT "ambaye anakupenda na kushika amri zako"