sw_tn/luk/12/16.md

25 lines
349 B
Markdown

# Kauli inayounganisha
Yesu aliendeleza mafundisho yake kwa kuwaeleza mfano
# Kisha Yesu akawaambia
Huenda Yesu alikuwa bado anaongea na mkutano wote.
# ilizaa sana
"imezaa mavuno mengi"
# ghala
jengo ambalo wakulima huhifadhi mazao na chakula wanachopanda baada ya kuvunwa
# vitu
"Mali"
# Nitaiambia nafsi yangu
"Nitajiambia mwenyewe"