sw_tn/luk/11/02.md

454 B

Yesu akawaambia, "msalipo mseme, "Baba Jina lako litakaswe

Yesu, mwana wa Mungu, Aliwaamuru wanfunzi kuheshimu Jina la Mungu "Baba", kwa kulitamka jina la Mungu kama "Baba" wakati wa kuomba

Yesu akawaambia

Yesu aliwaambia wanafunzi wake

Baba

Hii ni cheo muhimu kwa Mungu

Jina lako litakaswe

"Watu wote wakuheshimu wewe" au "mfanye kila mmoja aliheshimu Jina lako"

Ufalme wako uje

"Uizimamishe ufalme wako" Tunataka utawale watu wako.