# Yesu akawaambia, "msalipo mseme, "Baba Jina lako litakaswe Yesu, mwana wa Mungu, Aliwaamuru wanfunzi kuheshimu Jina la Mungu "Baba", kwa kulitamka jina la Mungu kama "Baba" wakati wa kuomba # Yesu akawaambia Yesu aliwaambia wanafunzi wake # Baba Hii ni cheo muhimu kwa Mungu # Jina lako litakaswe "Watu wote wakuheshimu wewe" au "mfanye kila mmoja aliheshimu Jina lako" # Ufalme wako uje "Uizimamishe ufalme wako" Tunataka utawale watu wako.