forked from WA-Catalog/sw_tn
364 B
364 B
Akihubiri ubatizo wa toba
Neno "Ubatizo" na "Toba" yanaweza kuelezewa kama vitendo. AT: "na alihubiri kwamba watu wale inapaswa kubatizwa kuonyesha kwamba walikuwa wakitubu."
Kwa ajili ya msamaha wa dhambi
"Ili kwamba dhambi zao zingeweza kusamehewa" au "ili kwamba Mungu angeweza kusamehe dhambi zao." Toba ilikuwa kwamba Mungu aweze kusamehe dhambi zao.