sw_tn/lev/08/10.md

13 lines
277 B
Markdown

# vyombo vyake vyote
Hivi vyote ni vyungu, masufuria, makoleo, na nyuma vilivyotukaka kwenye madhabahu.
# sinia la kunawia
Hili ni besenni la shaba liliowekwa kati ya madhabahu na hema.
# kitako chake
Hiki ni kinara cha shaba ambacho juu yake sinia la kunawia liliwekwa.