# vyombo vyake vyote Hivi vyote ni vyungu, masufuria, makoleo, na nyuma vilivyotukaka kwenye madhabahu. # sinia la kunawia Hili ni besenni la shaba liliowekwa kati ya madhabahu na hema. # kitako chake Hiki ni kinara cha shaba ambacho juu yake sinia la kunawia liliwekwa.