sw_tn/lam/05/01.md

33 lines
592 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Shairi lipya la anzu.
# Kumbuka
"Fikiria kuhusu"
# uone aibu yetu
"angalia hali ya aibu tuliyo nayo"
# Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni
"Umeruhusu wageni kuchukua "
# nyumba zetu kwa wageni
"umeruhusu wageni wachukuwe mali za urithi wetu"
# Tumekuwa yatima ... mama zetu ni kama wajane
Watu wa Yerusalemu hawana mtu wa kuwalinda kwasababu wanaume wamekufa vitani au wameenda matekani.
# Lazima tulipe fedha kwa maji tunayo kunywa
"Lazima tulipe fedha kwa maadui zetu ili tunywe maji yetu"
# tulipe fedha kupata mbao zetu
"maadui zetu wanatuuzia mbao zetu"