forked from WA-Catalog/sw_tn
29 lines
420 B
Markdown
29 lines
420 B
Markdown
# Taarifa ya jumla:
|
|
|
|
Tazama: uandishi wa shairi.
|
|
|
|
# Baruki ... Neria
|
|
|
|
Haya ni majina ya watu.
|
|
|
|
# aliyoambiwa na Yeremia
|
|
|
|
Baruku aliandika maneno ambayo Yeremia alisema.
|
|
|
|
# Katika mwaka wa nne wa Yehoakimu
|
|
|
|
"wakati ambao Yehoakimu aliitawala Yuda kwa miaka minne"
|
|
|
|
# alisema
|
|
|
|
"Yeremia alimwambia Baruku"
|
|
|
|
# umeongeza uchungu katika maumivu yangu
|
|
|
|
"umenisababishia maumivu makubwa"
|
|
|
|
# Nimechoka kuugua
|
|
|
|
"nimechoka kulia"
|
|
|