forked from WA-Catalog/sw_tn
420 B
420 B
Taarifa ya jumla:
Tazama: uandishi wa shairi.
Baruki ... Neria
Haya ni majina ya watu.
aliyoambiwa na Yeremia
Baruku aliandika maneno ambayo Yeremia alisema.
Katika mwaka wa nne wa Yehoakimu
"wakati ambao Yehoakimu aliitawala Yuda kwa miaka minne"
alisema
"Yeremia alimwambia Baruku"
umeongeza uchungu katika maumivu yangu
"umenisababishia maumivu makubwa"
Nimechoka kuugua
"nimechoka kulia"