forked from WA-Catalog/sw_tn
543 B
543 B
watu hawa
"watu wa Yerusalemu"
nitaweka mbele yako njia ya uzima na njia ya mauti.
Bwana anawapa watu wa Yerusalemu uchaguzi ambao utaamua kama wanaishi au kufa.
kuanguka kwa magoti mbele
"kujisalimisha kwa "
imefungwa kinyume
"kushambuliwa kutoka pande zote"
Nimeweka uso wangu kinyume
"Nimekataa kupinga" au "nimegeukia"
Yeye ataokoka na maisha yake
Yule anayejisalimisha kwa Wababiloni ataokoka na maisha yake, ingawa atapoteza mali zake zote.
hili ni tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.