1.1 KiB
Yakobo 04 Maelezo kwa jumla
Dhana muhimu katika sura hii
Uzinzi
Wandishi katika Bibilia huzungumzia mara nyingi uzinzi kama mfano kwa watu wanaosema wanampenda Mungu lakini wanatenda mambo Mungu huchukia. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor and rc://en/tw/dict/bible/kt/godly)
Sheria
Kuna uwezekano Yakobo analitumia neno hili katika Yakobo 4:11 kumaanisha "sheria ya kifalme" (Yakobo 2:8) na siyo sheria ya Musa(Tazama: rc://en/tw/dict/bible/kt/lawofmoses)
Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
Maswali ya kana
Yakobo anauliza maswali mengi kwa sababu anataka wasomaji wake wafikirie jinsi wanavyoishi. Anataka kuwarekebisha na kuwafudisha. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-rquestion)
Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
Nyenyekevu
Kuna uwezekano neno hili hutumika kumaanisha watu wasiyo na majivuno. Yakobo analitumia neno hili kuashiria watu wasiyokuwa na majivuno na wanaoeza kumtumainia Yesu na kumtii.