forked from WA-Catalog/sw_tn
372 B
372 B
Yakobo 03 Maelezo kwa jumla
Mifano muhimu katika sura hii
Mifano
Yakobo anawafundisha wasomaji wake kwamba waishi kumpendeza Mungu kwa kuwakumbusha kuhusu mambo wanayofahamu ya kawaida katika maisha ya kila siku. (Tazama: rc://en/ta/man/translate/figs-metaphor)