sw_tn/isa/13/13.md

17 lines
514 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Yahwe anaendelea kuzungumza.
# Kama swala anayewindwa au kama kondoo asiyekuwa na mchungaji
"Kama swala ambaye hukimbia haraka pale watu wanapomwinda, na kama kondoo ambaye hana mchungaji anavyokimbia kutoka kwa wanyama pori"
# swala
mnyama ambaye anafanana na mbawala. Watu huwawinda, na wanyama pori mara nyingine huwashambulia na kuwaua.
# kama kondoo asiyekuwa na mchungaji
Kondoo ambao hawana mchungaji hawana mtu wa kuwalinda kutoka kwa wanyama pori ambao huwashambulia na kuwaua.