sw_tn/isa/06/11.md

13 lines
536 B
Markdown

# Mpaka miji ianguke katika uharibifu na iwe bila wakazi, na nyumba iwe bila watu
"Mpaka miji yote na nyumba ziharibike na hakuna mtu anayeishi pale"
# nchi huanguka katika takataka ya ukiwa
Hapa "huanguka katika" ni lahaja ambayo ina maana ya kuwa kitu kibaya zaidi. "nchi inakuwa takataka ya upweke"
# Mpaka Yahwe awaondoe watu mbali, na upweke wa nchi ni mkubwa
Hapa Yahwe anazungumza kuhusu yeye mwenyewe katika mtu wa utatu. "Hadi mimi, Yahwe, nimewatuma watu wote mbali kabisa mwa nchi yao, ili kwamba hakuna mtu anayebaki"