sw_tn/ezr/04/20.md

29 lines
1014 B
Markdown

# Mji ngambo ya mto
Hili ni jina la mji ambalo liko magharibi ya mto efrati. Ilikuwa kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9
# Ada na kodi walilipwa wao
hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:'Watu katika Yerusalem walilipa ada na kodi kwa wale wafalme" au "Wale wafalme waliweza kukusanya ada na kodi"
# kuweka agizo
"kuweka amri"
# Uwe mwangalifu usipuuze hili
"Uwe mwangalifu kufanya hili"
# Kwa nini kuruhusu tishio hili kuongezeka na kusababisha hasara kwa matakwa ya mfalme?
Artashasta alitumia swali kuwaambia wao kwamba anafahamu ya kuwa atapoteza kodi na heshima ikiwa mji utajengwa. AT:"Unapaswa kuhakikisha kwamba hili tishio halikuhi na kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme"
# tishio kukua
Hatari imeongelewa kana kwamba ulikuwa mmea ambao ungekuwa na kuongezeka kwa kimo. AT:"hatari ya kuja kuwa balaa"
# kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme
neno "matakwa ya ufalme" ni msemo kwa mfalme mwenyewe. AT:"kusababisha mabaya mengi kutokea kwa mfalme"