# Mji ngambo ya mto Hili ni jina la mji ambalo liko magharibi ya mto efrati. Ilikuwa kuvuka mto kutoka mji wa Susa. Tafsiri kama katika 4:9 # Ada na kodi walilipwa wao hii inaweza kutafsiriwa katika mfumo hai. AT:'Watu katika Yerusalem walilipa ada na kodi kwa wale wafalme" au "Wale wafalme waliweza kukusanya ada na kodi" # kuweka agizo "kuweka amri" # Uwe mwangalifu usipuuze hili "Uwe mwangalifu kufanya hili" # Kwa nini kuruhusu tishio hili kuongezeka na kusababisha hasara kwa matakwa ya mfalme? Artashasta alitumia swali kuwaambia wao kwamba anafahamu ya kuwa atapoteza kodi na heshima ikiwa mji utajengwa. AT:"Unapaswa kuhakikisha kwamba hili tishio halikuhi na kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme" # tishio kukua Hatari imeongelewa kana kwamba ulikuwa mmea ambao ungekuwa na kuongezeka kwa kimo. AT:"hatari ya kuja kuwa balaa" # kusababisha hasara zaidi kwa matakwa ya ufalme neno "matakwa ya ufalme" ni msemo kwa mfalme mwenyewe. AT:"kusababisha mabaya mengi kutokea kwa mfalme"