sw_tn/ezk/38/17.md

17 lines
318 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kuhusu Gogu.
# e, wewe siye yule ambaye ... yao?
Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba ni yeye ndiye aliyekuwa amemleta Gogu kwenye nchi ya Israeli.
# yule ambaye niliyeongea naye
"ambaye ninaye mzungumzia"
# juu yao
"juu ya watu wa Israeli"