sw_tn/ezk/38/17.md

318 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe kuhusu Gogu.

e, wewe siye yule ambaye ... yao?

Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba ni yeye ndiye aliyekuwa amemleta Gogu kwenye nchi ya Israeli.

yule ambaye niliyeongea naye

"ambaye ninaye mzungumzia"

juu yao

"juu ya watu wa Israeli"