sw_tn/ezk/33/10.md

45 lines
830 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla:
Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa Wasraeli.
# nyumba ya Israeli
Tazama jinsi ilivyo tafsiriwa katika sura ya 3:1.
# Mnasema hivi
"Hivi ndivyo ulivyosema"
# Makosa yetu na dhambi zetu
wanajisikia haitia kwa makosa yao na dhambi
# na tunadhoofika kwa ajili yao
Hili neno linalinganisha jinsi dhambi inavyo muharibu mtu.
# kati yao
Hii inamaanisha watu wanajua Mungu hatawasamehe.
# Nitaishije?
Watu huuliza hili swali kusisitiza kwamba hawana tumaini la kuishi.
# Kama niishivyo
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# hili ndilo tangazo la Yahwe
Tazama tafsiri yake katika sura ya 5:11.
# kama mwovu akitubu kutoka njia yake?
"kama mtu muovu akiacha kufanya mambo mabaya"
# kwa nini mnataka kufa
Yahwe anatumia hili swali kusisitiza kwamba hataki watu wa Israeli kufa.