sw_tn/ezk/26/01.md

41 lines
845 B
Markdown

# katika mwaka wa kumi na moja
"katika mwaka wa kumi na moja ya uhamisho wa Mfalme Yehoyakini"
# katika siku ya kwanza ya mwezi
Haijulikani ni mwezi gani wa kalenda ya Kiebrania Ezekieli alio umaanisha.
# neno la Yahwe likaja
"Yahwe alinena neno lake."
# Mwanadamu
Tazama tafsiri yake katika 2:1.
# Tire alisema juu ya Yerusalemu
"watu wa Tire wamesema juu ya watu wa Yerusalemu."
# Enhe!
"Ndiyo!" au "vizuri sana!"
# Malango ya watu yamevunjwa
Watu wa Tire wanatumia haya maneno kurejea kwa Yerusalemu kana kwamba ilikuwa lango la mji ambalo wafanya biashara walipitia kutoka mataifa yaliyozunguka yalipitia.
# Amenigeukia
Hapa neno "yeye" inarejea kwa neno "malango" ambayo "imegeuka" juu ya bawaba kufungua kwenda Tire.
# nitajazwa
Hapa "kujazwa" inamaanisha kustawi. "nitafanikiwa"
# ameharibiwa
"Yerusalemu imeharibiwa"