sw_tn/ezk/20/07.md

236 B

Maelezo ya Jumla:

Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli.

kwao

"kwa uzao wa nyumba ya Yakobo"

kutoka mbele ya macho yake

Hili neno lina maanisha kwamba "kwamba anapenda" au "kwamba anaabudu."