# Maelezo ya Jumla: Yahwe anaendelea kumpatia Ezekieli ujumbe wake kwa viongozi wa Israeli. # kwao "kwa uzao wa nyumba ya Yakobo" # kutoka mbele ya macho yake Hili neno lina maanisha kwamba "kwamba anapenda" au "kwamba anaabudu."