sw_tn/ezk/18/16.md

17 lines
513 B
Markdown

# Taarifa za Msingi:
Yehova anaendelea kuzungumza juu ya mwana asiyetenda dhambi kama za baba yake.
# walio uchi
Hii inaweza kumaanisha watu wasio na nguo kabisa, lakini kwa sehemu kubwa inamaanisha watu wenye mavazi chakavu, mavazi duni sana.
# huwavika nguo walio uchi
Kuwapatia nguo watu wenye uhitaji wa nguo linazungumziwa kama tendo la kuwavalisha nguo katika miili yao. (lugha ya picha)
# huuondoa mkono wake kwa maskini
Hapa neno "mkono" linasimama badala ya maneno "kutenda matendo yasiyo haki"