forked from WA-Catalog/sw_tn
513 B
513 B
Taarifa za Msingi:
Yehova anaendelea kuzungumza juu ya mwana asiyetenda dhambi kama za baba yake.
walio uchi
Hii inaweza kumaanisha watu wasio na nguo kabisa, lakini kwa sehemu kubwa inamaanisha watu wenye mavazi chakavu, mavazi duni sana.
huwavika nguo walio uchi
Kuwapatia nguo watu wenye uhitaji wa nguo linazungumziwa kama tendo la kuwavalisha nguo katika miili yao. (lugha ya picha)
huuondoa mkono wake kwa maskini
Hapa neno "mkono" linasimama badala ya maneno "kutenda matendo yasiyo haki"