sw_tn/ezk/10/15.md

29 lines
499 B
Markdown

# kerubi
mnyama mwenye mabawa manne
# kiumbe hai
hawa viumbe hai walikuwa na mwonekano wa radi.
# Keberi Kanali
Huu ni mto ambao watu katika Kaldayo walichimba kwa ajili ya kumwagilia bustani zao.
# kuinuka
"kwenda juu kwenye anga"
# Yaliendelea kuwa karibu nao
"Magurudumu yakuwa pamoja na kerubi." "Magurudumu yalihama pamoja na kerubi."
# pia yalisimama
"pia yalisimama" au "hayakuhama"
# roho wa vile viumbe hai walikuwa kwenye magurudumu
"roho wa viumbe hai aliongoza magurudumu"