sw_tn/ezk/10/15.md

499 B

kerubi

mnyama mwenye mabawa manne

kiumbe hai

hawa viumbe hai walikuwa na mwonekano wa radi.

Keberi Kanali

Huu ni mto ambao watu katika Kaldayo walichimba kwa ajili ya kumwagilia bustani zao.

kuinuka

"kwenda juu kwenye anga"

Yaliendelea kuwa karibu nao

"Magurudumu yakuwa pamoja na kerubi." "Magurudumu yalihama pamoja na kerubi."

pia yalisimama

"pia yalisimama" au "hayakuhama"

roho wa vile viumbe hai walikuwa kwenye magurudumu

"roho wa viumbe hai aliongoza magurudumu"