sw_tn/ezk/09/03.md

25 lines
536 B
Markdown

# kutoka kwa kerubi ambapo ilikuwa
"kutoka juu ya mabawa manne ya viumbe"
# kisingiti cha nyumba
"Nyumba" inarejea kwa hekalu la Mungu.
# kitani
imara, nguo laini iliyo tengenezwa kutokana na mmea. ilivaliwa na watu sehemu ambazo ni moto.
# kifaa cha uandishi
vifaa ambavyo waandishi hutumua kuandikia
# waliolemewa na kushusha/kuvuta pumzi
Hizi ni sauti ambazo watu hufanya wakati wanapojisikia huzuni sana au kusikitishwa kuhusu jambo
# machukizo yanafanyika kati ya mji
"mambo ya kutisha yamekuwa yakifanyika katika mji"