Mungu anaendelea kuongea na Musa.
Hapa "hivi" lina husu sehemu za dhabihu vilivyo tajwa katika mistari ya awali.
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.