forked from WA-Catalog/sw_tn
13 lines
252 B
Markdown
13 lines
252 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Mungu anaendelea kuongea na Musa.
|
||
|
|
||
|
# Nawe utavitia hivi
|
||
|
|
||
|
Hapa "hivi" lina husu sehemu za dhabihu vilivyo tajwa katika mistari ya awali.
|
||
|
|
||
|
# ni sadaka iliyotengenezwa kwangu kwa njia ya moto
|
||
|
|
||
|
Hii yaweza andikwa katika tensi tendaji.
|
||
|
|