forked from WA-Catalog/sw_tn
512 B
512 B
Maelezo ya Jumla
Yahweh anaendelea kuongea na Musa.
walete hao wanawe
"walete wana wa Aruni"
kanzu
Hili lilikuwa kanzu lilo shoneshewa mchoro.
mshipi
kipande cha kitambaa watu wanacho vaa kwenye kiuno au kwenye kifua.
kofia
Kofia hii ni nyembamba, ya urembo ambayo mtu ni kitambaa mtu anacho vaa kichwani juu ya macho.
kwa kazi takatifu
"wajibu wa kuwa makuhani"
watakuwa na huo
Wajibu wa kuwa makuhani pia utakuwa na zao la wana wa Aruni.
amri ya milele
"sheria isiyo na mwisho"