forked from WA-Catalog/sw_tn
321 B
321 B
malaika wa Yahweh
Huyu alikuwa Yahweh mwenyewe aliyekuwa anajitokeza kama malaika, na sio kama malaika Yahweh aliye mtuma.
Yahweh
Hili ni jina la Mungu alilo lirihidhisha kwa watu wake wa Agano la Kale.
Tazama
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Musa aliona kitu kilicho kuwa cha tofauti na alicho tegemea.