sw_tn/deu/28/67.md

483 B

Habari ya jumla

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja.

kwa sababu ya hofu moyoni mwenu

Hii ni nahau. "kwa sababu ya hofu mliyonayo"

vitu ambavyo macho yako italazimu kuona

Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima.

nilikuambia

Hapa "ni" urejea kwa Yahwe.

utajitoa kuuzwa kwa maadui zako...kuwanunua

Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako mwenyewe" ni uwingi.