# Habari ya jumla Musa anazungumza kwa Waisraeli kama walikuwa mtu mmoja, hivyo maneno "wewe" na "yako" hapa yako kwenye umoja. # kwa sababu ya hofu moyoni mwenu Hii ni nahau. "kwa sababu ya hofu mliyonayo" # vitu ambavyo macho yako italazimu kuona Hapa "macho" urejea kwa mtu mzima. # nilikuambia Hapa "ni" urejea kwa Yahwe. # utajitoa kuuzwa kwa maadui zako...kuwanunua Musa anazungumza kwa Waisraeli kama kundi, hivyo mifano yote ya "wewe" na "yako mwenyewe" ni uwingi.