Musa anawambia watu wa Israeli kile Mungu anataka wao kufanya.
"na kuwatii"
Yahwe hataki watu wake kutengeneza sheria mpya, au kupuzia zile alizowapa tayari.