# Ni karibu kukufundisha Musa anawambia watu wa Israeli kile Mungu anataka wao kufanya. # kuwafanyia "na kuwatii" # Hautayaongeza maneno ...wala kuyapunguza Yahwe hataki watu wake kutengeneza sheria mpya, au kupuzia zile alizowapa tayari.