sw_tn/deu/01/32.md

13 lines
301 B
Markdown

# Taarifa ya ujumla
Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi cha awali cha Israel kilivyofanya.
# Yahwe Mungu wenu...yupi alienda mbele yenu
Musa anawakumbusha wao kwa njia za Yahwe alivyoenda mbele ya Israel wakati ya safair zao wakati zamani.
# tengeneza kambi
"weka mahema yenu"