# Taarifa ya ujumla Musa aendelea kuwakumbusha watu wa Israel nini kizazi cha awali cha Israel kilivyofanya. # Yahwe Mungu wenu...yupi alienda mbele yenu Musa anawakumbusha wao kwa njia za Yahwe alivyoenda mbele ya Israel wakati ya safair zao wakati zamani. # tengeneza kambi "weka mahema yenu"