# Tuliposafiri pole pole mwishowe tulifika kwa taabu.
Unaweza kuonesha kuwa kilichofanya wakasafiri kwa taabu ilikuwa ni kwa sababu ya upepo ulivuma dhidi yao.
# Karibu na mji wa Lasi
Huu ni mji katika Pwani ya Krete