# Tuliposafiri pole pole mwishowe tulifika kwa taabu. Unaweza kuonesha kuwa kilichofanya wakasafiri kwa taabu ilikuwa ni kwa sababu ya upepo ulivuma dhidi yao. # Karibu na mji wa Lasi Huu ni mji katika Pwani ya Krete