sw_tn/act/25/17.md

25 lines
617 B
Markdown

# Kwa hiyo
Neno hili linanyesha maelezo ya kilichosemwa kabla. Hivyo Festo alisema mtu aliyeshitakiwa anatakiwa awakabili washitaki wake na kujitetea.
# Walipokuja pamoja hapa
"wakati viongozi wa Kiyahudi walipokuja kuonana na mimi hapa"
# Nilikaa kwenye kiti cha hukumu
"Nilikaa juu ya kiti ambacho nilifanya kazi ya hakimu"
# Niliamuru mtu huyo aletwe ndani
"Niliamuru askari wamlete Paulo mbele yangu"
# Dini yao wenyewe
Neno "dini" linamaanisha mfumo wa imani ya watu juu ya maisha na nguvu.
# Kuhukumiwa kule juu ya mambo haya
"ambapo baraza la Wayahudi wataamua kama anamakosa kuhusu masitaka haya"